Governance
Katiba ya GEA / Constitution
Placeholder — rasmi itachapishwa baada ya kuidhinishwa
Kifungu cha 1 — Jina
Chama kinaitwa Chama Cha Wahitimu Wajasiriamali Tanzania (Graduate Entrepreneurs Association — GEA), chama cha kitaifa chenye makao nchini Tanzania.
Kifungu cha 2 — Madhumuni
Kuunganisha, kuwezesha, na kuwakilisha wahitimu wajasiriamali; kukuza biashara endelevu; na kujenga mtandao wa kitaifa wa fursa, mafunzo, na uongozi.
Kifungu cha 3 — Uanachama
Uanachama unapatikana kwa maombi, ukaguzi, na kuidhinishwa kwa mujibu wa sera za GEA. Namba ya uanachama ni ya kitaifa na ya kudumu. Ada na muda wa uanachama huwekwa na bodi/usimamizi.
Kifungu cha 4 — Muundo
GEA inaendesha miundo ya kitaifa na ya kieneo (mkoa → wilaya → kata/chapter). Pilot ya Phase 1 inaanzia Iringa kabla ya upanuzi wa kitaifa.
Note
This page is a temporary public placeholder. The full constitution will replace this content once formally adopted and published by GEA leadership.